Ufafanuzi wa mchezo wa vikapu katika Kiswahili

mchezo wa vikapu

  • 1

    mchezo unaochezwa kwa mikono na wanaume au wanawake ambapo goli hufungwa kwa kutumbukiza mpira katika chuma duara kilichofungwa wavu upande wa chini na kupigiliwa juu ya ubao.