Ufafanuzi wa mchikichi katika Kiswahili

mchikichi

nominoPlural michikichi

  • 1

    mti unaofanana na mkindu ambao makuti yake huota kwenye shina na yanapokauka huanguka na kubakiza vigutu vyake na huzaa matunda katika makole.

    mgazi

Matamshi

mchikichi

/mt∫ikit∫i/