Ufafanuzi msingi wa mchikicho katika Kiswahili

: mchikicho1mchikicho2

mchikicho1

nominoPlural michikicho

  • 1

    ukataji wa kitu k.v. nyama kwa kutumia kisu kisicho na makali.

Matamshi

mchikicho

/mt∫ikit∫ɔ/

Ufafanuzi msingi wa mchikicho katika Kiswahili

: mchikicho1mchikicho2

mchikicho2

nominoPlural michikicho

  • 1

    mchanganyiko wa vitu vilivyosagwa pamoja k.v. pilipili, vitunguu, chumvi na limau.

Matamshi

mchikicho

/mt∫ikit∫ɔ/