Ufafanuzi wa mchimvi katika Kiswahili

mchimvi

nominoPlural wachimvi

  • 1

    mtu ambaye hufanya mambo ambayo kwa imani za kijamii huleta maafa au kifo kwa baadhi ya watu.

  • 2

    mtu amfanyiaye mtu mwingine fitina na vitimbi.

Matamshi

mchimvi

/mt∫imvi/