Ufafanuzi wa mchinjiko katika Kiswahili

mchinjiko

nominoPlural michinjiko

  • 1

    ukambaa wa nyuzi za mbuyu unaofungwa kifuani na wanawake wanyonyeshao.

Matamshi

mchinjiko

/mt∫inʄikɔ/