Ufafanuzi wa mchipwi katika Kiswahili

mchipwi

nominoPlural mchipwi

  • 1

    majani mapana na marefu yanayopatikana baharini na ambayo ni jamii moja na mwani.

Matamshi

mchipwi

/mt∫ipwi/