Ufafanuzi wa mchocha katika Kiswahili

mchocha

nomino

  • 1

    mti wenye matunda ya manjano yaliwayo.

Matamshi

mchocha

/mt∫ɔt∫a/