Ufafanuzi wa mchocheamvua katika Kiswahili

mchocheamvua

nominoPlural wachocheamvua

  • 1

    ndege mwenye manyoya mekundu kifuani anayependa sana kula asali.

    mlembe

Matamshi

mchocheamvua

/mt∫ɔt∫ɛamvuwa/