Ufafanuzi wa mchokocho katika Kiswahili

mchokocho

nominoPlural michokocho

  • 1

    tendo la kutia kitu chenye ncha kwenye tundu au shimo ili kutoa kilicho ndani.

Matamshi

mchokocho

/mt∫ɔkɔt∫ɔ/