Ufafanuzi wa mchokoo katika Kiswahili

mchokoo

nominoPlural michokoo

  • 1

    mti wenye ncha, agh. hutumiwa na watu wanaochokoa kaa pwani.

Matamshi

mchokoo

/mt∫ɔkɔ:/