Ufafanuzi wa mchongoano katika Kiswahili

mchongoano

nomino

  • 1

    maneno ya utani na dhihaka yanayokusudiwa kupitisha ujumbe fulani kwa ucheshi.

    mgoano

Matamshi

mchongoano

/mt∫ɔngɔwanɔ/