Ufafanuzi wa mchongoma katika Kiswahili

mchongoma

nomino

  • 1

    mti wenye miba na majani madogo madogo, agh. hupandwa kuwa ni uzio au mpaka wa shamba.

    mlimbolimbo

Matamshi

mchongoma

/mt∫ɔngɔma/