Ufafanuzi wa mchoo katika Kiswahili

mchoo

nominoPlural michoo

  • 1

    majira ya mvua ndogondogo kati ya Julai na Oktoba katika kanda ya Afrika Mashariki.

Matamshi

mchoo

/mt∫ɔ:/