Ufafanuzi wa mchoro katika Kiswahili

mchoro

nominoPlural michoro

  • 1

    alama iliyochorwa.

    taswira, chapa

  • 2

    mtindo wa kuchora.

Matamshi

mchoro

/mt∫ɔrɔ/