Ufafanuzi wa mchoroko katika Kiswahili

mchoroko

nominoPlural michoroko

  • 1

    mmea wa jamii ya kunde unaotoa mbegu ndogondogo zenye rangi ya kijani.

Matamshi

mchoroko

/mt∫ɔrɔkɔ/