Ufafanuzi wa mchuchio katika Kiswahili

mchuchio

nominoPlural michuchio

  • 1

    utikisaji wa kisu kwa kukipeleka mbele na nyuma na kukirusha kudokeza ushujaa.

Matamshi

mchuchio

/mt∫ut∫ijɔ/