Ufafanuzi wa mchunaji katika Kiswahili

mchunaji

nominoPlural wachunaji

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kuchuna ngozi.

Matamshi

mchunaji

/mt∫unaʄi/