Ufafanuzi wa mchungaji katika Kiswahili

mchungaji

nominoPlural wachungaji

 • 1

  mtu anayefanya kazi ya kupeleka wanyama wa kufugwa malishoni na kuwarudisha zizini.

  mlisha

 • 2

  Kidini
  kiongozi katika madhehebu fulani ya Kikristo mwenye uwezo wa k.v. kubatiza, kufungisha ndoa au kulisha sakramenti.

  kasisi, padri

Matamshi

mchungaji

/mt∫ungaʄi/