Ufafanuzi wa mchuzi katika Kiswahili

mchuzi

nominoPlural michuzi

  • 1

    kitoweo cha majimaji kilichopikwa kwa kuchanganya k.m. nyama, samaki, mbogamboga pamoja na viungo k.v. bizari, vitunguu, mafuta au nyanya.

Matamshi

mchuzi

/mt∫uzi/