Ufafanuzi wa mdahalo katika Kiswahili

mdahalo

nomino

  • 1

    majadiliano baina ya watu wengi juu ya jambo moja maalumu.

    mjadala, chilumbo, kongamano

Asili

Kar

Matamshi

mdahalo

/mdahalÉ”/