Ufafanuzi wa mdaku katika Kiswahili

mdaku

nominoPlural wadaku

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutaka kujua habari za watu.

    kilimilimi, mbeya, domokaya, kiduhushi

Matamshi

mdaku

/mdaku/