Ufafanuzi wa mdalasini katika Kiswahili

mdalasini

nominoPlural midalasini

  • 1

    mti ambao magome na majani yake yana harufu nzuri na ambayo hutumika kuwa ni kiungo katika mapishi.

Asili

Kar

Matamshi

mdalasini

/mdalasini/