Ufafanuzi wa mdanganyifu katika Kiswahili

mdanganyifu

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia na vitendo vya kughilibu watu au kufanya jambo ambalo anafahamu si la kweli.

    mwongo, mzandiki, mnafiki, bazazi, jambazi, mjanja, laghai, haini

Matamshi

mdanganyifu

/mdanga…≤ifu/