Ufafanuzi wa mdanzi katika Kiswahili

mdanzi

nominoPlural midanzi

  • 1

    mti unaozaa matunda yanayofanana na machungwa lakini makali na makubwa; mchungwa mwitu.

Matamshi

mdanzi

/mdanzi/