Ufafanuzi wa mdau katika Kiswahili

mdau

nomino

  • 1

    mtu mwenye hisa katika kampuni au shirika fulani.

  • 2

    mtu mwenye maslahi katika shughuli au kampuni fulani.

Matamshi

mdau

/mdawu/