Ufafanuzi wa mdhabidhabina katika Kiswahili

mdhabidhabina, mzabinazabina

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuzua na kutia fitina baina ya watu au pande mbili au zaidi na akawa anajifanya kwamba anaunga mkono kila upande.

    kauleni, fatani, mfitini, kizabizabina, kidhabidhabina

Asili

Kar