Ufafanuzi wa mdhibiti katika Kiswahili

mdhibiti

nominoPlural wadhibiti

  • 1

    mtu anayekagua mali au amana fulani.

    mkaguzi

  • 2

    msimamizi wa mali au amana ya serikali au shirika.

    mhifadhi

Asili

Kar

Matamshi

mdhibiti

/mðibiti/