Ufafanuzi wa mdimu katika Kiswahili

mdimu

nominoPlural midimu

  • 1

    mti jamii ya mlimau wenye matawi mengi yanayofanya kichaka na kuzaa matunda yenye ladha chachu na hutumika kuwa ni kiungo cha chakula au kutengenezea juisi.

Asili

Khi

Matamshi

mdimu

/mdimu/