Ufafanuzi wa mdodoki katika Kiswahili

mdodoki

nominoPlural midodoki

  • 1

    mmea unaotambaa, unaofanana na mtango, ambao matunda yake yanapokauka, agh. hutumika kujisugulia mwilini wakati wa kuoga.

Matamshi

mdodoki

/mdɔdɔki/