Ufafanuzi wa mdomo katika Kiswahili

mdomo

nomino

 • 1

  sehemu ya nje ya kinywa inayomwezesha kiumbe kupitishia kitu, hasa chakula.

 • 2

  ‘Aliitia nyama mdomoni’
  kinywa

 • 3

  uwazi wa kitu kama chupa, gunia, n.k. ambapo vitu vingine hupitishiwa ndani ya kitu hicho.