Ufafanuzi wa mdomwa katika Kiswahili

mdomwa

nominoPlural myomwa

  • 1

    ngoma inayochezwa na wanawake na wanaume ambao huwa wamesimama kwenye mistari miwili wakikabiliana na kutoka mtu mmoja katika kila mstari na kwenda kwa mguu tofauti na mwenzake.

Matamshi

mdomwa

/mdɔmwa/