Ufafanuzi wa mdondoakupe katika Kiswahili

mdondoakupe

nominoPlural wadondoakupe

  • 1

    ndege mdogo apendaye kusimama mgongoni mwa wanyama k.v. ng’ombe, nyati na twiga akiwadondoa kupe.

Matamshi

mdondoakupe

/mdɔndɔwakupe/