Ufafanuzi wa mdoni katika Kiswahili

mdoni

nominoPlural wadoni

  • 1

    kiumbe anayeokota kitu kimojakimoja kama afanyavyo ndege.

Matamshi

mdoni

/mdɔni/