Ufafanuzi wa mdoshi katika Kiswahili

mdoshi

nominoPlural midoshi

  • 1

    sehemu ya kuwekea miguu k.v. katika cherehani au baiskeli.

Matamshi

mdoshi

/mdɔ∫i/