Ufafanuzi wa mdubira katika Kiswahili

mdubira

nominoPlural wadubira

  • 1

    mtu asiye na bahati; mtu asiyefanikiwa katika mambo anayoyafanya.

Asili

Kar

Matamshi

mdubira

/mdubira/