Ufafanuzi wa mdubiri katika Kiswahili

mdubiri

nomino

  • 1

    mtu anayependa mambo ya ushirikina.

Asili

Kar

Matamshi

mdubiri

/mdubiri/