Ufafanuzi wa mdukuo katika Kiswahili

mdukuo

nominoPlural midukuo

  • 1

    tendo la kusukuma mtu kwa kidole kwenye paji la uso au popote kichwani katika hali ya ugomvi.

    msukuo

  • 2

    upigaji wa kitu kama gololi kwa mbali.

Matamshi

mdukuo

/mdukuwɔ/