Ufafanuzi wa mechi katika Kiswahili

mechi

nominoPlural mechi

  • 1

    mashindano ya mchezo k.v. wa mpira, kriketi au hoki baina ya timu mbili au zaidi.

Asili

Kng

Matamshi

mechi

/mɛtʃi/