Ufafanuzi wa medali katika Kiswahili

medali

nominoPlural medali

  • 1

    kitu cha madini k.v. dhahabu, shaba au fedha kitolewacho kuwa ni tuzo kwa mshindi au kutunukiwa mtu aliyefanya jambo au kazi ya kuthaminiwa.

Asili

Kng

Matamshi

medali

/mɛdali/