Ufafanuzi wa medani katika Kiswahili

medani

nominoPlural medani

  • 1

    uwanja au mahali pa kupigania vita.

  • 2

    uwanja wa kitaaluma au fani.

    ‘Medani ya siasa’

Matamshi

medani

/mɛdani/