Ufafanuzi wa megawati katika Kiswahili

megawati

nomino

  • 1

    kipimo cha umeme ambacho ni sawa na wati milioni moja.

    ‘Mradi wa Mtera wa megawati 80’

Asili

Kng

Matamshi

megawati

/mɛgawati/