Ufafanuzi wa meja-jenerali katika Kiswahili

meja-jenerali

nominoPlural mameja-jenerali

  • 1

    ofisa wa jeshi mwenye cheo cha juu ya brigedia-jenerali na chini ya luteni-jenerali.

Asili

Kng

Matamshi

meja-jenerali

/mɛʄa ʄɛnɛrali/