Ufafanuzi msingi wa mende katika Kiswahili

: mende1mende2

mende1

nominoPlural mende

  • 1

    mdudu, agh. wa rangi ya kahawia mwenye mbawa nne na miguu sita, anayependa kutafuna vitu k.v. karatasi, vitambaa au nafaka na apendaye kukaa sehemu za giza.

    kombamwiko

Matamshi

mende

/mɛndɛ/

Ufafanuzi msingi wa mende katika Kiswahili

: mende1mende2

mende2

nominoPlural mende

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kulawiti wenzake.

    mula, afande, basha

Matamshi

mende

/mɛndɛ/