Ufafanuzi wa menejimenti katika Kiswahili

menejimenti

nominoPlural menejimenti

  • 1

    watu ambao kwa pamoja wanaendesha k.v. kampuni, shirika au kiwanda n.k..

Asili

Kng

Matamshi

menejimenti

/mɛnɛjimɛnti/