Ufafanuzi wa menyeka katika Kiswahili

menyeka

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya kazi sana; jisumbua kwa kufanya kazi.

Matamshi

menyeka

/mɛɲɛka/