Ufafanuzi wa menyu katika Kiswahili

menyu

nominoPlural menyu

  • 1

    orodha ya vyakula vinavyopatikana hotelini au mkahawani au vinavyoandaliwa kwenye shughuli fulani.

  • 2

    orodha ya hiari zinazoonyeshwa kwenye skrini ya kompyuta, simu ya mkononi au loho ya elektroniki.

Matamshi

menyu

/mɛɲu/