Ufafanuzi wa meremeta katika Kiswahili

meremeta

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa mwangaza unaozima na kuwaka kwa mfululizo.

    memeteka, metameta

Matamshi

meremeta

/mɛrɛmɛta/