Ufafanuzi wa merikebu katika Kiswahili

merikebu

nomino

  • 1

    chombo cha kusafiria baharini kinachoendeshwa kwa injini au matanga na ambacho ni kikubwa kuliko mashua au jahazi.

Asili

Kar

Matamshi

merikebu

/mɛrikɛbu/