Ufafanuzi wa mesenja katika Kiswahili

mesenja

nominoPlural mesenja

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kupeleka au kuchukua barua posta au katika ofisi nyingine.

    tarishi, katikiro

Asili

Kng

Matamshi

mesenja

/mɛsɛnʄa/