Ufafanuzi wa methali katika Kiswahili

methali

nominoPlural methali

  • 1

    usemi wa kisanii wa kimapokeo unaofikiriwa na jamii kuwa kweli na unaotumiwa kufumbia au kupigia mfano na huwa umebeba maana pana kuliko maneno yenyewe yanayotumiwa k.m. ‘Hasira za mkizi furaha ya mvuvi’ na ‘Mcheza kwao hutunzwa’.

    fumbo

Asili

Kar

Matamshi

methali

/mɛθali/